LolSijui ukoje
Unataka selfika
Ijue sijasoma[emoji848]
Translate haraka
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Yeah mengi ..Kumbe?
Basi mambo ni mengi [emoji16]
Mimi hata huwa sipaki Kwa wale vijanaYeah mengi ..
Ukitaka zisikatike unamwambia mkaka yule akutrim zinasaidia kuwa imara kidigo
Okay nice , Mimi napenda kusuguliwa vile na brush na upakwe tu mafuta lol ..Mimi hata huwa sipaki Kwa wale vijana
Napaka mwenyewe nyumbani rangi yangu buku[emoji16]
Halafu nikizitrim naona zitakuwa
kali, zitaniumiza.
Senene jeMaisha yamekua magumu hadi siku hizi mvua ikinyesha usiku hamna kumbikumbi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ipo ukutani tayari [emoji28][emoji28][emoji28]
Lushoto mkuuLocation boss..
Naomba na mimi unipelekeLushoto mkuu
cocastic unaitwa utoe salamu huku
Na mimi nimepelekwa mkuuNaomba na mimi unipeleke
Imekula kwangu hiyo🙆♂️Na mimi nimepelekwa mkuu
Niliwahi jaribu mara moja siku ya graduuOkay nice , Mimi napenda kusuguliwa vile na brush na upakwe tu mafuta lol ..
Mguu unangaa siku hiyo kweli
Jaribu siku moja utrim
[emoji1787][emoji1787]Naomba na mimi unipeleke
Kila nikipita hapo huwa nakuchungulia sikuonigari for sale laki na 32View attachment 2548195
pole mwaya , sijawah kupaka geli . Mie sipendi wanichokonoe vidole kutoa uchafu , cutter zile zinaumizaNiliwahi jaribu mara moja siku ya graduu
Mguuni nikabandika
Kwanini isinitoe damu[emoji1787] kwenye harakati za kudance kanisani kwenye mkesha ,, watu wakataka wapite nayo.
Mkononi pia niliwahi paka,wakanitrim
Zinakuwa kali mno kwa kweli..
Halafu naona km napoteza hela,nipake halafu nikifua rangi inatoka.
Na nasikia sikia watu sikuhizi wanasema zile rangi za gel si nzuri kiafya.
Kwanza mm kucha zangu za miguuni Mbaya😂😂😁pole mwaya , sijawah kupaka geli . Mie sipendi wanichokonoe vidole kutoa uchafu , cutter zile zinaumiza
zitakuwa nzuri usiseme hvyo . Vipi mzima lakiniKwanza mm kucha zangu za miguuni Mbaya