Selfika na JF: Snap it. Show it

hahaha! Kwa mtoko wa leo kapachino hata cigarettes hata gusa! Nisije nikawaudhi watoto wazuri! hata kabla hamjaanza cheza ampiano

View attachment 2547671
Kapachino katika one and two 😍😍😍😍 ila tayari ushavuta hapo best πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ndiyo tunajiandaa tunamalizia, kujipulizia unyunyu ...
 
Asantee DJ katika moja na mbili. Alivyoamza nikajua ni mpopo kumbe mbongo tamu nayo sana. Niko kwa kioo na kagauni ka leo nilikovaa sasa πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
Dj dj N 😊😊😊 pembeni yangu aunt Dj Antonnia
Your browser is not able to play this audio.

Your browser is not able to play this audio.
 
Amapiano likikolea adoo adooo tunabadili pozi wenyeweeee tunasimamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
Bantu Lady National Anthem Kapachino
Wee mtoto wewe πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» jamani anayekukula anakufaidi πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ Cheer'sπŸ₯‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣! Bantu Lady nakugawaaa walaiii wee nijazee mamaaaa nijazeee tyuuuu! in cocas voice πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜!

Unasukia biti za mjomba hizo lakini .
.🎢she make taah taah taah🎼

Mjomba weuweeewee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…