Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,575
- 235,417
IG Farhia kampost Zumaridi anakata mauno Kanisani kwakeWatu wanachekesha sana alogundua kuandika comments abarikiwe
Tiktok huwa napo ni balaaa huwa nacheka mpaka machozi
Mimi napenda collaboSabaha Yuko vizuri mm natamani aimbe depetupu au uwazi nazipenda sana
farhia yupi?IG Farhia kampost Zumaridi anakata mauno Kanisani kwake
Comment sasa.
Yaani watu 😂🙌
Farhia huyuhuyu wa ITV..farhia yupi?
Mama j kwenye ubora wake
Ahaa farhiya msomaliFarhia huyuhuyu wa ITV..
Kapost kaandika caption"Zuma Ake"
Comments za watu sasa 🤣🤣🤣
Eti suti imemkaa Zuma utasema mtu wa maana 🤣🤣🤣dah🤣🤣🤣
Watz🙌
Hata sijuagi kama ni msomaliAhaa farhiya msomali
Noma Sana nilijua umelala kaimba nyimboyangu pendwa😍Cheki alivyopendeza
Halafu huwa haachii kichwa huyu mama[emoji91][emoji91]View attachment 2546793View attachment 2546794
Ee hapendi kuvaa ushungi 😂 si mweusi kibongeHata sijuagi kama ni msomali
Mm huwa napenda anavyointroduce taarifa ya habari
Aisee anasoma vizuri pale mwanzo hadi Raha.
Njaa imeniumaNoma Sana nilijua umelala kaimba nyimboyangu pendwa[emoji7]
Huyu hapaEe hapendi kuvaa ushungi [emoji23] si mweusi kibonge
Tulia umalizie😀Nataka kulala ila nashindwa[emoji23]
Aisee miziki ya design hii ya taarab huwa napenda sana.
Kuja qaswida huwaga mazipiga, watu wanishangaa naimba qaswida.
Kesho ntateseka sana kuwahi Kanisani.Tulia umalizie😀
Noma Sana nyimbo Kali sanaLeyla Rashid
Sina muda huo [emoji108]
Mama ana Ngoma kali huyu[emoji119][emoji91][emoji847][emoji847]
Silali leo
Hakika mkuu[emoji4]Mama j kwenye ubora wake