Nilisoma Facebook hata sikumbuki ni page gani
Nikucheka.
Safari hii anajitahidi kutabasamuView attachment 2546703
Bado ipo nafikir kwenye saa sita ndo itaisha Kosa moja subir keshoπMi nishaingia kitandani bado haijaiisha nilikuwa nasubiri kosa moja nadhan nitaangalia kesho marudio
Bado ipo nafikir kwenye saa sita ndo itaisha Kosa moja subir keshoπ
Niacheni nijivune ,huu ni wakat wangu
Achukiae anune, Hii ni neema kwangu
Sinashida ya mwingine,simwachi mpenzwangu
Sinashida ya mwingine,simwachi mpenzwanguβ¨β¨β¨π
NilichekaNishaona comments za Fb [emoji23][emoji23][emoji23] mwichacho na yemen wapi na wapi
Nilicheka balaaππsilali Hadi aingie ππUliona alivyoingia Hadija
βMwanamke jeuri muibie mumewee β
Limama linajitupaga na ule mwili wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliona alivyoingia Hadija
βMwanamke jeuri muibie mumewee β
Nilicheka
Yaani fb kuna vituko.
Kuna habari ya fei toto
Wanasema bado ni Yanga
Sasa comments za watu, ilicheka nikataka kuzimiw[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado za Zumaridi [emoji1787]
Yaani tz ukifa Kwa stress umejitakia
View attachment 2546709View attachment 2546711
Wanafurahisha sanaLimama linajitupaga na ule mwili wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana amsha amsha huyo
Nyimbo zao sijui sometimes wanasemana
Nilicheka balaaππsilali Hadi aingie ππ
Ndio sahiz Leyla anamalizia Khadija kopaWanaingia kwa zamu ee?
Ndio sahiz Leyla anamalizia Khadija kopa
"Kwa Hilo hujanikomoa mambo yangu yananiendea nimepata mwingine natanua
Kwa Hilo hujanikomoa na rohoyangu imepoa mapenz moto najilia "β¨β¨
πππMim hawa nawapenda ila wakija huwa siendi,mim nipeleke kule kwa Dj aly b unacheza kesho unaamka unaumwa ππππ
Kesi imeishaπππ
Kimodo π₯π
Ndiyo.Wanaingia kwa zamu ee?