Sun Wukong
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,152
- 2,301
Hii ni yapaka au?Tuanze weekend.View attachment 2545196
MhhhhhHayo ni majini hayo muda mwingine yanakuongoza vizuri mm zamani yalikuwa yananisaidia mfano naweza sema nikipita mtaa huu nikipita nitaokota hela na kweli naokota hela katika Maisha imenitokea kama mara tatu sehemu ile ile niliyokuwa naiwaza nikiwa mdogo ila siku hizi huu upako sina ππ
Kapachino Mungu ampe nini leoNakuja nakujaaa chap hapo ππ!
Ishi Sana, mwizi mwenzagu National Anthemππππ haya aunt yangu kipenzi View attachment 2545024
Aisee we mwizi anaye chipukia National Anthem taratibu sasa, maana mdogo ake Cha ukorofii Lovelovie hachelewi kuja kukupigaa kisa sister mawigi Antonniaπ«‘π«‘π«‘π«‘ aunt wanguuu huyooo mzuri sanaaa lips hizo ππ jicho ilooo πππ langi ya pure gold
πππAisee we mwizi anaye chipukia National Anthem taratibu sasa, maana mdogo ake Cha ukorofii Lovelovie hachelewi kuja kukupigaa kisa sister mawigi Antonnia
Nisameheee sikujua uko machoπππππ
We emoji hizo za mshangao vepeeeππππ
π π kuishi sana kuiba sana na kuwa tajiri sanaaa kauli mbiuIshi Sana, mwizi mwenzagu National Anthem
π π Niambie mzee mwenzangu.. harakati zinaendaje hukoHongera kwa kuachiwa Mkuu.
Linaza bado ipoHahaha twenzetu linaz pale ama!!
Mimi ndo nashuka kwenye huu mteremko mkali wa hamgembe
Za kushangaa ndioWe emoji hizo za mshangao vepeeeπ
Morning selfika!!
Goat hair Lol ππππ!!
Niko poa BLGoat hair Lol [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]!!
Habari za uzima Msukuma!!!
hahaha