ππππ€£π€£π€£Yaani Bantu Lady inabidi apigwe faini haiwezekani aniitie mrembo kama Antonnia eti kibichwa tena mbilikimo wa CongoTayukwa umenishinda tabiaa nakugawaaaaaa walai πππππππ Kibichwa mwenyewe nipo hapaaa mjueeπ πππ
Andunje mwenyewe nipo hapaa mjue sijapenta ππ!Who is kibichwa? πππππππ
Hata siyo mtu halisi, ndugu zangu wa Congo hao wale viandunje.
Kweli mie ki mbilikimo mkuu hebu mniwachee nitrambe humuu hakuna kama kibichwa miye buana ππππππ€£π€£π€£Yaani Bantu Lady inabidi apigwe faini haiwezekani aniitie mrembo kama Antonnia eti kibichwa tena mbilikimo wa Congo
Haiwezekani naandamana
Mrembo wako hataki huo urembo nikimsifia. Acha awe kibichwa tu. Halafu ni sister mawigi huyo π€£π€£π€£π€£π€£ in Businessman voiceππππ€£π€£π€£Yaani Bantu Lady inabidi apigwe faini haiwezekani aniitie mrembo kama Antonnia eti kibichwa tena mbilikimo wa Congo
Haiwezekani naandamana
Sister mawigi πππππππ Businessman namgawaaaa!Mrembo wako hataki huo urembo nikimsifia. Acha awe kibichwa tu. Halafu ni sister mawigi huyo π€£π€£π€£π€£π€£ in Businessman voice
Naandamana na Tayukwa sifai hiko cheo kabisa. Yaani sikubali kabisa, Wakurya hatuna weupe sisi π π π nimegoma kabisa. Yule ni my twin unajua Antonnia tuko twins sisi ohoooSister mawigi πππππππ Businessman namgawaaaa!
Mrembo ni Boss kubwa Mbantu mwenyewe!! mtrotro mweupeeee ukimgusa tu mwenyewe lazima ujishtukie Tayukwa
All Stars ni kama jeans hazitaisha fashion kamwee... napenda ila nikiwaza na huu uandenje wangu π₯π₯π₯π₯ si nitakuwa nazidi kudidimia. Tayukwa njoo uone guu la mtoto wa Kagame huku πππChat na picha vibichwa nyie Bantu Lady Tayukwa
πππMkurya andunje mzungu unamjua weweee!!??? Bora twenzetu Finl tyuu
Ujue hili guu nilivyoliona tu nikahisi km nipo Kagera kwenye tetemeko la ardhi ndani ya mtima wanguβ€οΈβ€οΈβ€οΈππAll Stars ni kama jeans hazitaisha fashion kamwee... napenda ila nikiwaza na huu uandenje wangu π₯π₯π₯π₯ si nitakuwa nazidi kudidimia. Tayukwa njoo uone guu la mtoto wa Kagame huku πππ
Una nini lakini? Hebu check whatsapp yako kwanza. π π π π mzungu pori tena pori la Kazimzumbwi ππππ₯π₯πππMkurya mzungu unamjua weweee!!??? Bora twenzetu Finl tyuu
Mkurya bongo bahati mbaya weyee!! Mtoto Mkareeeee mtoto white mtoto saa 6 mtoto umejaaaa nyuma sasa auuuweeeeeehhh!!
Kwakweli andunje kibichwa wee wa kuvaa heels tu! Nahuo urefuππAll Stars ni kama jeans hazitaisha fashion kamwee... napenda ila nikiwaza na huu uandenje wangu π₯π₯π₯π₯ si nitakuwa nazidi kudidimia. Tayukwa njoo uone guu la mtoto wa Kagame huku πππ
Nitafanyaje na kwetu Congo mmmh!!!Kwakweli andunje kibichwa wee wa kuvaa heels tu! Nahuo urefuππ
Kwenye tetemeko la ardhii lol umenikumbusha 2016 mchana jmos nimelala nasikia nyumba inatetemekaa nilitokaje baruuu weeeeπ!!Ujue hili guu nilivyoliona tu nikahisi km nipo Kagera kwenye tetemeko la ardhi ndani ya mtima wanguβ€οΈβ€οΈβ€οΈππ
Habari za siku mremboKwenye tetemeko la ardhii lol umenikumbusha 2016 mchana jmos nimelala nasikia nyumba inatetemekaa nilitokaje baruuu weeee!!
Pori la kwetu Nyakibimbirii ππ!!Una nini lakini? Hebu check whatsapp yako kwanza. π π π π mzungu pori tena pori la Kazimzumbwi ππππ₯π₯