Eendiwoooooooo mkuu nakaziaaaaaaaaaaaaa nakaziaaaaaaaaaaaaa.... kwako Bantu Lady ππ€Hivi kuitafuta weekend kuianzia leo hujui ni ngumu mno kama kuhesabu shanga za wamasai?
Turudishe siku nyuma tuifanye leo ndio weekend ya Jumapili ya jana.
Haya twende kaziππ
Hata sijui si hata nikiweka kidole ni sawa ππππHivi kuitafuta weekend kuianzia leo hujui ni ngumu mno kama kuhesabu shanga za wamasai?
Turudishe siku nyuma tuifanye leo ndio weekend ya Jumapili ya jana.
Haya twende kaziππ
Tutakikubali kidole hicho kama utakiweka shavuni ππHata sijui si hata nikiweka kidole ni sawa ππππ
DadaakeMkali wa hizi kazi, au sio
Ukisikia mtihani ndiyo huu mmmh π₯π₯π₯π₯Tutakikubali kidole hicho kama utakiweka shavuni ππ
Weee jiandae kuchiziii mtoto mkareeeee kuanzia ukucha hadi unywelee!Tutakikubali kidole hicho kama utakiweka shavuni ππ
Ndege wafananao...... ππWeee jiandae kuchiziii mtoto mkareeeee kuanzia ukucha hadi unywelee!
Amejua kuumbwa akaumbika bana ni Bantu Lady kweri kweri π!
Eendiwoooooooo Cuzoo akee Leader fanya hivooo kitrambo sana humu!Hata sijui si hata nikiweka kidole ni sawa ππππ
Hahahaa mjeda huyo mtata sanaDadaake
Li mjeda linawakwa tamaa
Fanya kama hujaliona
Vidole hivi vidole vile
Ni mauwongo tu
Hujambo lakini
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ndege wafananao...... ππ
Sijaonaubora wapi ndugu mjumbe hakuna ubora wowote
WamezoomWeeee Kamera tu mkuu
Kilikua kipicha cha hovyo tu Wigee Santo sana!
Irudiweee Irudiweee
Namwambia ndugu yangu asidanganyike na maneno yakoKilikua kipicha cha hovyo tu Wigee Santo sana!
Za masiku β!
Karibu tena selfika banaa!
Anatubles haya mkono tusiwe na shaka kabisa mkuu!!Bantu Lady Bantu Lady Bantu Lady Nimekuita mara mia tatu yaani kila moja hapo imewakilisha 100
Naomba uthibitishe anachotililika mrembo mwenzako Antonnia
Lol ni ileile ya sazile Sina hata jipya mie!Irudiweee Irudiweee
Acha kumdanganya mwenzio ujueNamwambia ndugu yangu asidanganyike na maneno yako
Whaaaaaaat Antonnia nitakuchapa ππππππ toka lini Wakurya tukawa hivyo? Tayukwa unadanganywa na unakubali shauri zako. Miye nimenyooka kama moja...Weee jiandae kuchiziii mtoto mkareeeee kuanzia ukucha hadi unywelee!
Amejua kuumbwa akaumbika bana ni Bantu Lady kweri kweri π!