Wewe ni yupi hapo? [emoji15]
Muda WA kutubless sasaUkiachana naile pin ya wiki 1 nilizuiliwa [emoji1702] mwezi mzima kifungo kiliisha jana!
Hahaha mzee wa hall 5.Arsenal anakandwaaa
Hahaha mwaka wa Arsenal huu.[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2537781
π€ π!Hee!
Kazi unayo[emoji23]
Saivi zamu yako sikunyingi hujatubles humu!Muda WA kutubless sasa
Umerudiii
Nimerudi mamy Koku alige?? Msamilie sana atakua amekua sana saivi Siku hazigandi!!Umerudiii
Wakati muafaka kabisaπ
Leo umepumzika π₯??πWakati muafaka kabisaπ
Naendelea mdogo mdogo!..nasubiri unitumie huo msosiπLeo umepumzika π₯??π
Chumvi na limau?Sanitation View attachment 2536770
ππ
Hapana nitumie tuπππ
Sasa huu wali wangu siutaishia kuweka fridge???ππ
Safiii... Naona captain morgan yupo chini umempiga KOOne down, one to go..[emoji4][emoji1635]View attachment 2536760
Au utanywea chai kesho???πHapana nitumie tuπ
Umbakishie na mtoto sasa, sio ule wote..