Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
Ilan jana katuletea mrembo ana maziwa kama ananyonyesha mbwa kokoHuyo mpambanaji sana kwa kutafuta hao watu daah nampa salout..
Mi nikionaga tag ya National Anthem najua kuna mtoto mkali
Duuh shabab kabisa huyu...Yeah
Teyali nisha pay umeona hapoUgali wa dona na samaki 2000 tu boss
Yule ananyonyesha majambaziπ€π€π€π€π€Ilan jana katuletea mrembo ana maziwa kama ananyonyesha mbwa koko
Naona mambo ya social media sasahivi yanaleta msukumo sana kualibu watu asa tiktok kwa wale wasiojielewaHuruma sana, ufahamu wake umeishatiwa giza na umeshikwa hana nguvu tena, yupo under control ya roho chafu, hana uwezo wa kujiendesha kihisia tena.
Lips pana kama ukuta wa segera πYule ananyonyesha majambaziπ€π€π€π€π€
Ila daah sio poa ana lipsi hizo
Rangi plas lipsi zile so poaLips pana kama ukuta wa segera π
Sio social media ila behavior ya mtu ambayo ndio ina leading yeye kuipeleka au kupelekwa kwenye social media ukichunguza kwa undani uyo afande ataongea mengi sana ila roho chafu ikikuvaa kama una msimamo utoboiNaona mambo ya social media sasahivi yanaleta msukumo sana kualibu watu asa tiktok kwa wale wasiojielewa
Af anajikausha πππ af alete na id zaoRangi plas lipsi zile so poa
Sijuikamtolea wapi yule
Et National Anthem yule mtoto ulinpatia wapi..?
Tatizo la jamii yetu, tunaangalia hili tatizo ki science sana na kijamii hata kunyoosha mikono na kuwatukana hata kuwatenga.. Jamaii haijui nguvu kubwa kutoka kuzimu ilivyo porute anga kuanzia Q1 to Q7 za nguvu za giza kuhakikisha uzao wa kiume unaharibika kuanzia kwenye misingi.. Tunahitaji upendo ( upendo ni nguvu pekee ya ukombozi ) hata ukombozi wa mwanadmu kupitia Yesu ni matokeo ya Mungu kuupenda ulimwengu na sio kuuchuki. Tunahitaji kuwaombea walio haribika Mungu awatoe kwasababu ni maswala ya kiroho zaidi, pia tinahitaji kuombea watoto na jamii isifikwe na hayamaana hakuna neno gumu mbele za Mungu wala lisilowezekana
Anasema hajaionaTeyali nisha pay umeona hapo
Insta π₯²π₯²Rangi plas lipsi zile so poa
Sijuikamtolea wapi yule
Et National Anthem yule mtoto ulinpatia wapi..?
π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€ Yaaan sio poa nakwambiaAf anajikausha πππ af alete na id zao
Ni wachache sana kuna mtu anafananisha na wanyama bina damu anautashi wa kutambua ili baya au zuri ila roho chafu ikimtawala hawezi kupambanuaTatizo la jamii yetu, tunaangalia hili tatizo ki science sana na kijamii hata kunyoosha mikono na kuwatukana hata kuwatenga.. Jamaii haijui nguvu kubwa kutoka kuzimu ilivyo porute anga kuanzia Q1 to Q7 za nguvu za giza kuhakikisha uzao wa kiume unaharibika kuanzia kwenye misingi.. Tunahitaji upendo ( upendo ni nguvu pekee ya ukombozi ) hata ukombozi wa mwanadmu kupitia Yesu ni matokeo ya Mungu kuupenda ulimwengu na sio kuuchuki. Tunahitaji kuwaombea walio haribika Mungu awatoe kwasababu ni maswala ya kiroho zaidi, pia tinahitaji kuombea watoto na jamii isifikwe na haya
oja aje aseme hapaoπ€π€π€π€π€π€π€π€π€π€ Yaaan sio poa nakwambia
Ndo mana nasemaga kuwa hapa selfika huyu mtu ndo anamiliki watt wakaliNg
oja aje aseme hapao
Ni kweli kabisa, roho ikisha mtawala mtu anakuwa hana tena maamuzi binafsi, anakuwa kama robot.. mtu anajikuta anafanya asiyoyataka .. hadi inafikia hatua ya kuwa ngome kwenye fahamu za mtendaji nae kuanza kulitenda bila hofu.. ila hata hao ambao wameangukia kwenye hilo tatizo mwanzo walikuwa wana hukumiwa sana mioyoni mwao hadi ngome zilipo umbika katika fahamu zao.. ile hukumu na kushuhudiwa hukumu kukafa. But huwa naamini kwa huruma za Mungu kuwagusa, nimeona watu kadhaa wanafunguliwa na kurudi normalNi wachache sana kuna mtu anafananisha na wanyama bina damu anautashi wa kutambua ili baya au zuri ila roho chafu ikimtawala hawezi kupambanua
ππ nitaongea nae akupe mmojaNdo mana nasemaga kuwa hapa selfika huyu mtu ndo anamiliki watt wakali
Mwenyewe anavopita comment zetu kama sio yeye vileπ€π€π€π€ππ nitaongea nae akupe mmoja