National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Enzi zangu nilikuwa nacheza nqmba sita uwanjani.. nilikuwa napumzi hatari na nguvu za miguuni hatari π πHapa sophy27 tuna discuss mambo ya miaka ya 90 uko nyuma; kaa mbali kiasi.
Miaka hii aunt Yako Bantu Lady alikuwa embe bichi kabisa ambalo unalilia na chumvi
Safiiii jirani
Dah! π₯²π₯²π₯² kitamu eehView attachment 2534787
[mention]National Anthem [/mention] kula kwa macho au nikulishie kwa Tigo pesa hii kitu [emoji23]
π€£π€£π π
Birth certificate yangu kiko Bandari ya Lamu hapo Kenya ndiyo kinaletwa kutoka Kwa Malikia, jiandae kuona Umri wa Babu yenu π€ͺ
Sasahivi jeEnzi zangu nilikuwa nacheza nqmba sita uwanjani.. nilikuwa napumzi hatari na nguvu za miguuni hatari [emoji28][emoji28]
Aisee...African beauty [emoji7][emoji7]View attachment 2534168
π π kurudi kwenye pick inabidi zoezi sana, hata karate penyewe nawaza kweli kuanza mazoezi yake.. udogoni sifa ilikuwa lazima ujue sarakasi, karate na mpira bila hivyo unaonekana kama hufaiSasahivi je
Nichako kweli?
Dah! π₯²π₯²π₯² kitamu eeh
Sijui mm[emoji23]Ndio siwezi kununua nini? [emoji849]
ππ umekula mchana kwaza? Uisije pata vidonda vya tumboSijui mm[emoji23]
Nitumie na mm nile mkuu[emoji23][emoji23] umekula mchana kwaza? Uisije pata vidonda vya tumbo
Mnafaidi dah πSana af kitimoto iko pembeni sio mbuzi [emoji23]
Aya nenda sehemu yoyote ile wanayo uza afu nitumie lipa namba sawa mkuuNitumie na mm nile mkuu
Ila ww unafaidi zaid watoto wa insta wanakusumbua mda wote mkule pamojaMnafaidi dah π
ππππ« π« π« sina meno mkuu.. dada zangu wote wale na ni mashemeji zanguIla ww unafaidi zaid watoto wa insta wanakusumbua mda wote mkule pamoja
Tayari mkuuAya nenda sehemu yoyote ile wanayo uza afu nitumie lipa namba sawa mkuu
Tuma lipa naMba hapaTayari mkuu
Huruma sana, roho chafu kutoka kuzimu imeisha muingia, ili kuharibu hatma yake na kizazi chake.. hana nguvu dhidi ya hiyo roho, inamuendesha itakavyo. Mungu amrehemu, Mungu amkumbuke amtoe kifunguni ikiwa ni mapenzi yake.. maana hakuna neno gumu mbele za Mungu wala lisilowezekana. Inasikitisha sana