Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwaka huu hata tusipochukua Ubingwa lakini timu ime improve sana.

Ukifanya ulinganifu utaona, Mwaka Jana baada ya michezo 25 tulikuwa na alama ngapi na sasa baada ya michezo 25 tuna alama ngapi.

The future is so bright πŸ”† ahead
The future is promising.

Kwa position tuliopo Sasa.
Inabidi wachezaji na tecniko bench wapambane Sana

Tulikosa sura tutaziweka wapi?
Hawa mashabiki wa utd watabonga sana
 
Kocha wetu hupenda kusema anacheza game kwa game hadi kumaliza game zote 38. Wachezaji na Benchi la Ufundi wakiendelea na hii Commitment huenda tukabeba Ndoo πŸ† mwaka huu.

Wacha tuendelee kuwapa Morale tutafika tu
 
Mwaka huu hata tusipochukua Ubingwa lakini timu ime improve sana.

Ukifanya ulinganifu utaona, Mwaka Jana baada ya michezo 25 tulikuwa na alama ngapi na sasa baada ya michezo 25 tuna alama ngapi.

The future is so bright πŸ”† ahead
Arsenal ilikuwa ya kina ROBERT PIRES.. enzi hizo na mie nilikuwa napi mpira kama DENNIS BERGKAMP πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mashuti kama Rivaldo..
 
Kocha wetu hupenda kusema anacheza game kwa game hadi kumaliza game zote 38. Wachezaji na Benchi la Ufundi wakiendelea na hii Commitment huenda tukabeba Ndoo πŸ† mwaka huu.

Wacha tuendelee kuwapa Morale tutafika tu
it has been long time yan 19years Dah Ni ( miaka ya sophy27 kabisa)

Kikubwa saka na martnel waendelee kuwa fit
 
Haha ndo hii saa legend Edu anaisuka!
Ian Wright, Patrick Vieira, Liam Brady, Charlie George, Pat Jennings, Freddie Ljungberg, Marc Overmars πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… enzi zao nilikuwa napiga soka banaaa kama Sergio Batista 🀣🀣🀣
 
Ulikuwa kitasa Kama Victor Costa nyumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…