Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
nani tena huyoo, asidhani watekaji na wasiojulikana tumesafiri ..KIPENZI nipo ila mambo ya majukumu kdg yananibanaKuna Braza hapo juu.mzima lakini kipenzi?umekuwa adimu sana
nani tena huyoo, asidhani watekaji na wasiojulikana tumesafiri ..KIPENZI nipo ila mambo ya majukumu kdg yananibanaKuna Braza hapo juu.mzima lakini kipenzi?umekuwa adimu sana
Kikubwa usima kipenzi.maisha ni kubwanwa na mambo ya msinginani tena huyoo, asidhani watekaji na wasiojulikana tumesafiri ..KIPENZI nipo ila mambo ya majukumu kdg yananibana
yeah KIPENZI ,ndio maana nakupenda kama DUNIA ,miaka 80000,mambo vp lknKikubwa usima kipenzi.maisha ni kubwanwa na mambo ya msingi
Hii kamba ya dunia uliyonifunga si nzuri kipenzi😆😆😆😆yeah KIPENZI ,ndio maana nakupenda kama DUNIA ,miaka 80000,mambo vp lkn
hahahha,KIPENZI mie siwezi kupiga kmba wewe, na hakuna wakuniteka zaidi yako, nasubiri urudi tuHii kamba ya dunia uliyonifunga si nzuri kipenzi😆😆😆😆
huyo mtoto mzuri aliyekubana mwambie awe anakuachia kidogo
Anko nakuja chap.naomba lokeshen
Wapo wengi kipenzi nakuzoom kimya kimya😆😆😆😆😆😆😆😆hatari tupu yanihahahha,KIPENZI mie siwezi kupiga kmba wewe, na hakuna wakuniteka zaidi yako, nasubiri urudi tu
kuwa makini si unajua KILEVI hicho?Anko nakuja chap.naomba lokeshen
Hahahahaha, nahisi ka presha inaanza kunipanda hv?Anko nakuja chap.naomba lokeshen
hahahaha,kipenzi sio kweli kuwa wako wengi,mie najua uko PEKEE YAKO KIPENZI hao wengi ,wasikusumbueWapo wengi kipenzi nakuzoom kimya kimya😆😆😆😆😆😆😆😆hatari tupu yani
Nitakuwa niko kwenye mikono salama ya anko wangukuwa makini si unajua KILEVI hicho?
Wacha ipande tu hakuna namna.yani uwe karibu yangu halafu ukose presha sio kweliHahahahaha, nahisi ka presha inaanza kunipanda hv?
hao anko zenu wa mujini hao, huwa janja janja sana , bora ungekua kwa mjombaNitakuwa niko kwenye mikono salama ya anko wangu
Punguza kamba kipenzi ninafaili lako😆😆hahahaha,kipenzi sio kweli kuwa wako wengi,mie najua uko PEKEE YAKO KIPENZI hao wengi ,wasikusumbue
hahahaha, na unavyonijuilia sasa,hahaha kweli acha ipandeWacha ipande tu hakuna namna.yani uwe karibu yangu halafu ukose presha sio kweli
Labda kwa hao anko wengine wa huko kwenu ila wa huku kwetu wako salamahao anko zenu wa mujini hao, huwa janja janja sana , bora ungekua kwa mjomba
hahahahaaha, huwezi kuwa na faili langu , KIPENZI ila pia sikufungi kambaPunguza kamba kipenzi ninafaili lako😆😆
hahahahahaha, sawa kipenziLabda kwa hao anko wengine wa huko kwenu ila wa huku kwetu wako salama
Ninakuzoomhahahahaaha, huwezi kuwa na faili langu , KIPENZI ila pia sikufungi kamba