Mtoto muongo wewe🤣🤣🤣That's good dear
Mimi niko kuchangamsha viungo na wimbo wa amelowa. Jack Palladino kaniambia nina kiuno kigumu ndo niko kukilainisha hapa
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Kiuno kilaini sana aisee😉
Binamuuu...nakumiss
Nakupa code ,Mtihan gani jamani tena unanistua roho
Nakupa code ,
Fungua hii code jirani na The crimax kwa JoeNipeee
Fungua hii code jirani na The crimax kwa Joe
DK 90 hazijaisha mmetangulizwa tu na baiseli ya barafu 😅😅😅
Daahh...anko anthem Kweli lakini unatuombea kufungwaa?!!DK 90 hazijaisha mmetangulizwa tu na baiseli ya barafu![]()
Hebu niache juzi mmefanya Pepa gumuuuu Mpk nimetoka naumwa kichwaaaaDejane nauza code za mtihani
😅😅😅 aunt haitakaa mtokee mkashindaa.. barafu mda si mrefu inaanza kuyayuka .. nimekaa paleDaahh...anko anthem Kweli lakini unatuombea kufungwaa?!!
Ikishinda Simba Leo najipost hapa live aseehh
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ulishindwa hata kutumia chabo😅😅Hebu niache juzi mmefanya Pepa gumuuuu Mpk nimetoka naumwa kichwaaaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nitabaki hapa nione uumbajiDaahh...anko anthem Kweli lakini unatuombea kufungwaa?!!
Ikishinda Simba Leo najipost hapa live aseehh
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio ukazane kuombea simba ishinde, maana anajua hawawezi shinda ndio maana kahahidi jambo hilo 😅😅Nitabaki hapa nione uumbaji
Kwamba nipunguze doz kidogo au hapohapo bebe?Kiuno kilaini sana aisee![]()
