Kwa bei ya K vant ilivyo si nitalewa hadi nisiione njia ya nyumbani πOngera mkulima wa upanga mbolea ni k vant sio π
Ukiaza kuvuna tuambie tununue mafuta mapema kabla ya kupanda bei najua kwako lita tano nanunua 6000tuKwa bei ya K vant ilivyo si nitalewa hadi nisiione njia ya nyumbani π
Mkuu sisi tumejificha Kijijini huku ndani ndani tunalima zetu Alizeti tu π€ͺ
Usijali MkuuUkiaza kuvuna tuambie tununue mafuta mapema kabla ya kupanda bei najua kwako lita tano nanunua 6000tu
Kanisa mkuu mali ya shamba haina hsaraUsijali Mkuu
Mwaka Jana licha ya kulima binafsi pia nilinunua kwa Wakulima wenzangu na kukamua Mafuta, siku ukija kunisalimia huku Kijijini lazima nikupe lita 20 Ukatumie na Wajukuu zangu huko Mjini π€ͺ
Ndiyo maana sisi Vijana wa enzi za Mwl Nyerere tunatekeleza slogan yake ya "Kilimo cha Kufa na Kupona" kwa Vitendo π€ͺKabisa mkuu mali ya shamba haina hsara
My sweet love [emoji8]Its friday yooh![emoji4]View attachment 2528463
π
Saa hyoooIts friday yooh![emoji4]View attachment 2528463
π π π ulimbo wa nini huo
Naona na ww ushaanza kuwa mzungu kweli tutafute pesa mimi sio mwa afrikaIts friday yooh![emoji4]View attachment 2528463
Ongera sana sisi vijana wa mkapa tupo biz na biashraNdiyo maana sisi Vijana wa enzi za Mwl Nyerere tunatekeleza slogan yake ya "Kilimo cha Kufa na Kupona" kwa Vitendo π€ͺ
Pesa ndio kila kitu kijanaπNaona na ww ushaanza kuwa mzungu kweli tutafute pesa mimi sio mwa afrika