Kweli nilinenepa kweli, au sijui ndoa ilikuwa changa.. milo mitano kwa siku 🤣🤣🤣 ila sasa hivi kuna siku napita kama vile hamna kinacho endelea nasahahu hata kula 😅😅😅 nguo zilizokuwa zinanishika zimelegea