National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
π π ebu tuone maeneo yasiyopunguaGood thing anachotaka yeye niwe Healthy. So nakula halafu lazima ni burn calories basi. Mimi hata nijikondeshaje kuna maeneo ya mwili hayapungui ndiyo huwa yanaongezeka. Bora ninenepe yajifichie minyama huko.
Ankol huwezi kuyaona kwa macho haya ya nyama.... mpaka uwe na macho ya rohoni π π π π ππ π ebu tuone maeneo yasiyopungua
π₯Έπ₯Έπ₯Έπ₯Έ haya hapo auntAnkol huwezi kuyaona kwa macho haya ya nyama.... mpaka uwe na macho ya rohoni π π π π π
Sikopesheki mzee[emoji19][emoji19][emoji19] nitakula saa 12 jioni mpakani mwa leo na kesho nina kama buku jee hapa
Good thing anachotaka yeye niwe Healthy. So nakula halafu lazima ni burn calories basi. Mimi hata nijikondeshaje kuna maeneo ya mwili hayapungui ndiyo huwa yanaongezeka. Bora ninenepe yajifichie minyama huko.
Aunt Bantu Lady .. [emoji28][emoji28]View attachment 2526000
View attachment 2526238
Twendeni ibadani mimi nishafika
Misa inaanza saa ngapi hii?
Dah! Umenikumbusha mbali.. baba yangu alikuwa anapenda sana hii
View attachment 2526238
Twendeni ibadani mimi nishafika
Ndoa tamu.. wanao kataa ndoa ni watumishi wa lucifer bila kujua.. wanasaidiana nae kupinga mipango ya MunguKubali ndoaView attachment 2526251
Makanisa ya washua dah..
Kweli eehHakuna ushuwa wowote ata ww unaweza sali
Duuhh urojooπππ
Ntoe out nkale ππ₯Duuhh urojooπππ
Kweli eeh
Mnacheza na nani . Ndo maana barabarani pamechangamka .Wananchi tupo live[emoji123]View attachment 2526321