Yes umeshapajua, miye kusoma mitaa niishike shida. Ila najua tu nikitaka fika pale napita wapi nafika πππππ najua hapo nakatiza kabla sijakutana na njia ya kuingia Muhimbili Hospital.
Yes umeshapajua, miye kusoma mitaa niishike shida. Ila najua tu nikitaka fika pale napita wapi nafika πππππ najua hapo nakatiza kabla sijakutana na njia ya kuingia Muhimbili Hospital.
Nilikuwa naishi mitaa ya huko, chaka zote za town nilikuwa nazimanya.. na nilipata shida sana nilipo hama kule.. ujue kule kila kitu unapata yani na sehemu ingine nilikuwa napenda kwenda kula pale opp na mahakama ya mwanzo.. pako karibu na jengo kubwa la uvcc kipindi hicho.. wahindi na waarabu ndio ilikuwa eneo lao.. sie tulikuwa tunawapeleka watoto wa CBE ukimpleka lazima akukubali yaani anakupa na nyota ila hatukuwa tuna tusi nao.. maana maradhi mengi wakati ule π π π
Good thing anachotaka yeye niwe Healthy. So nakula halafu lazima ni burn calories basi. Mimi hata nijikondeshaje kuna maeneo ya mwili hayapungui ndiyo huwa yanaongezeka. Bora ninenepe yajifichie minyama huko.