Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,404
Nawewe nakutafutia next week [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Umeshaweza kuandaa huyo kuku?
Sawa ... Kikubwa uzimaNitakualika
Umenitenga jirani weweShikamoo jirani
Nimekukiss ujue
Nitamleta usijali MwachiiMimi sikuamini mpaka uniletee hapa [emoji23]
Wananisingizia daaahNa nimeshampa my cousin ππππ dada yako sichelewi. Nasikia wewe ni team kataa ndoa πππ
Nitamleta usijali Mwachii
Binti mwenyewe kasema!!!Wananisingizia daaah
JichanganyeMimi sikuamini mpaka uniletee hapa [emoji23]
Sijahamia popote, we are still together babe!π
Basi utulizane my babe usichepuke chepuke tena[emoji7]Sijahamia popote, we are still together babe![emoji8]
Asiwe JF-EXPERT tuu...Sasa wadogo zangu kila mtu asema aina yake, halafu shangazi nikatafute niwaletee hapa warembo wangu. Ila mimi π€π€π€π€ kwani ndiyo nimekuwa nani vile sijui muunganishaji πππππ Ankol National Anthem unanichora tu Aunt yako ππ»ππ»ππ»
πππ Natazama wenye nyota zao.. wanavyo angukiwa na mabahati ya vitu vizuri.. mie bipo nipo tuu,Sasa wadogo zangu kila mtu asema aina yake, halafu shangazi nikatafute niwaletee hapa warembo wangu. Ila mimi π€π€π€π€ kwani ndiyo nimekuwa nani vile sijui muunganishaji πππππ Ankol National Anthem unanichora tu Aunt yako ππ»ππ»ππ»
Anakuwa manyoya kuwa kishaliwa ama mdogo wangu?Asiwe JF-EXPERT tuu...
Sijakutenga jirani yangu, nitaanzia wapi?
Your wish is my command babe!πBasi utulizane my babe usichepuke chepuke tena[emoji7]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Yaani ukiwa kwenye uhusiano unapendwa kupitiliza. Unatamani tu na wengine wapate watu wa hivyo ... basi ndiyo nitakavyo Ankolπππ Natazama wenye nyota zao.. wanavyo angukiwa na mabahati ya vitu vizuri.. mie bipo nipo tuu,
πππ anakuta mabaki ya kina Mentor π€£π€£π€£Anakuwa manyoya kuwa kishaliwa ama mdogo wangu?
ππ Kupendwa na kuthaminiwa raha sana, plus kuwe na amani hata baraka za home utaona zinaongezeka tuYaani ukiwa kwenye uhusiano unapendwa kupitiliza. Unatamani tu na wengine wapate watu wa hivyo ... basi ndiyo nitakavyo Ankol