Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,791
- 58,403
Wewe sa hivi unataka uje uteseke tena na kusoma kweli...?Maisha ni kuchagua π π kasomee kuchola tatooo wadada na kuwafanyia massage .. ufaidi bila sumniπ π
π π π na nje sipapendi nakomaa hapa hapa tuHiyo phd usitafutie jiji la makonda hapa sawa
πππ Poor Brain team kataa ndoaππDahan njoo shoga angu, kuna mchumba huku Poor Brain nimekutafutia Mwachii ukae kwa kutulia πππππ
Wengine kusoma ni sehemu ya maisha tunapenda tu mkuu.. wala sio matesoWewe sa hivi unataka uje uteseke tena na kusoma kweli...?
Haya yangu macho ngoja nijionee mambo...Mdogo wangu, hiki kifaa cha kimataifa. Ni mzuri acha ataibiwa. Acha kwanza tumsogeze karibu, halafu tujadiliane. Dada yako sina uongo umeona. Kifaa haswaa utaonewa wivu wewe shauri yako.
Tumeambiwa tushukuru kwa kila jambo ππ.. huenda sio bahati yangu kwa leoNational Anthem Ankol umepishana na gari ya bahati... sasa na kama Poor Brain unapishana nayo naenda mpa my cousin πππππ
Kumbeee ndiyo maana ana sita sita. Acha nimpe tu my cousin leadermoe ukuje nimekutafutia kifaa my cousin πππππππ Poor Brain team kataa ndoaππ
Unakomaa hapo hapo ..π π π na nje sipapendi nakomaa hapa hapa tu
Weeeeh nani amekuambiaπππππ umeiona wapi hiyo.πππ Poor Brain team kataa ndoaππ
Na nimeshampa my cousin ππππ dada yako sichelewi. Nasikia wewe ni team kataa ndoa πππWeeeeh nani amekuambiaπππππ umeiona wapi hiyo.
Hata mimi napenda ila sioWengine kusoma ni sehemu ya maisha tunapenda tu mkuu.. wala sio mateso
Hebu unganisha mitambo chap niwe wifi yako[emoji23]Yupo Mkurya handsome humu, tena ndugu yangu wa damu. Acha niongee naye kwanza maana naye, kama anajisikia fulani ila nammudu tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kheee tena unahamisha bahati kwangu tenaNational Anthem Ankol umepishana na gari ya bahati... sasa na kama Poor Brain unapishana nayo naenda mpa my cousin πππππ
Ngoja niende lunch, nikirudi naunganisha mitambo shoga angu. Usijali hapa umefika ππππππHebu unganisha mitambo chap niwe wifi yako[emoji23]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Sio ngumu kweli?[emoji28]View attachment 2526077
Nimeweka simba
Mbili na tangawizi na chumvi tu [emoji847] sijaunguza leo [mention]Jack Palladino [/mention] unaona leo
Nimejitaid
Ongea wewe... Maana sio ananipa matumaini hapa kumbe....
NitakualikaUnakomaa hapo hapo ..
Ndo ujue utosoma hapo.... Amini nakuambia
Hapana banaKumbeee ndiyo maana ana sita sita. Acha nimpe tu my cousin leadermoe ukuje nimekutafutia kifaa my cousin ππππ