Uumkanye aache uchokozi. Ila kazuri kenyeweHuwa namuosha ila hapo ni alama nyeusi haitoki karibia na pua si ndio
Halaf kakwanguliwa hapo karibia na jicho mchokozi mno
Wazee wa misondo ni mwendo wa kumwagilia moyo tu
Uumkanye aache uchokozi. Ila kazuri kenyewe
Ndo vilivyo vipaka vidogo yaani vinapenda kuwavimbia wakubwa. Naona kamepigwa hadi kamekuwa kapole 😔Sasa eti yeye mdogo anataka weka battle na paka wakubwa kweliii kama sio kiherehere
Ndo vilivyo vipaka vidogo yaani vinapenda kuwavimbia wakubwa. Naona kamepigwa hadi kamekuwa kapole 😔
Asante. Umepika mwenyewe?
Asante. Umepika mwenyewe?
Piga picha vizuri tuone ulivyounguza!😅
Mmeachana?
kwashemeji hapo au sio?


