Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
😁😁Mida ya kukaguwa homework SASA hiyo 13 Kwa kingereza inaitwaje???
Walimu mtuhurumieView attachment 2516289
Umenikumbusha dogo wakati yuko baby class alichorewa vitu akatakiwa aandike majina yake....
🍵 (kikombe) akaandika kicup 😁



