Selfika na JF: Snap it. Show it

Polepole Mama Minza na hiyo mibichwa....Sisi hatuna mibichwa kihivyo and our kids are gojazi [emoji91][emoji91][emoji3590]
 
View attachment 2513447
Wale wavivu wenzangu wa kula kwa kuendekeza kufanya kazi sana, msisahu kubebelea hizo.

Kazi ni muhimu lakini afya ya mwili ni muhimu zaidi.

Hello Saturday [emoji1635]
Saga hizi uongezee na maziwa mtindi...Maji tumia ya tui la nazi...Tupiamo na karanga mbichi konzi moja....Utakuja kunishukuru [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…