converterr
JF-Expert Member
- Jan 28, 2023
- 294
- 594
duh nimekosa Mimi Niko rushoto huku.sikunyingine nialike ukiwa darRock City
duh nimekosa Mimi Niko rushoto huku.sikunyingine nialike ukiwa darRock City
kwa simu dah . Jamaa alikuwa amenipigia simu nikamjibu nipo church . Anapiga tu yeye .. Huyo mkewe kuangalia simu kaona namba yangu inapigwa frequently ndo akaamua kuja hewani kunitukanaPole sana dear Umetukanwa wapi ??? kisa nini???? Hahahaaa wame za watu Nuksi sana dear!
Asante mwaya . hao ni zaidi ya nuksi . kanipigia mara mbili ananitukana nikasema ngoja niblock tu number nimekoma miePole sana dear Umetukanwa wapi ??? kisa nini???? Hahahaaa wame za watu Nuksi sana dear!
Lol pole kipenzi labda alijua mali yake inataka kubebwa kuibiwa hahaa! Huyo nawewe si ungemjibu kunya apambane na mumeww jamani heeeh!!! ! Pole dear!kwa simu dah . Jamaa alikuwa amenipigia simu nikamjibu nipo church . Anapiga tu yeye .. Huyo mkewe kuangalia simu kaona namba yangu inapigwa frequently ndo akaamua kuja hewani kunitukana
yule mdada hayupo sawa namuelekeza tu vizuri , haelewi na mie siwezi kufoka wala kutukana . Muda mwingine wanawake tunagombana kumbe me ndo mwenye kosa .Lol pole kipenzi labda alijua mali yake inataka kubebwa kuibiwa hahaa! Huyo nawewe si ungemjibu kunya apambane na mumeww jamani heeeh!!! ! Pole dear!
Mpishi wa leo....View attachment 2506288View attachment 2506289


True love comes with jealous in it anachunga mzigo wake!yule mdada hayupo sawa namuelekeza tu vizuri , haelewi na mie siwezi kufoka wala kutukana . Muda mwingine wanawake tunagombana kumbe me ndo mwenye kosa .
Hapana sio love hiyo ni uchoyo na ulimbukeni . Huyo mume asiwe na rafiki za ke .. Hapo unakuwa mke msumbufu utakuja kutukana watu sio mara kesho mume hana kaziTrue love comes with jealous in it anachunga mzigo wake!
Kuna siredi ya chuma mbogaWigee wee ni mwehuuu ujueee hahahaaa.... eti kibabe lol

NilishakwambiaHapana sio love hiyo ni uchoyo na ulimbukeni . Huyo mume asiwe na rafiki za ke .. Hapo unakuwa mke msumbufu utakuja kutukana watu sio mara kesho mume hana kazi
Upo bhana . nyie wanaume ndo mnataka kukulana ... Hahaha asante ewe singo mwenye uzoefu wa kutosha .Nilishakwambia
Urafiki wa ke na me kwa wazungu huko
Bongo ni kulana tu
Njoo kwa singo mbobezi hapa
Unaruka ruka kama maharage chunguni
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Nuksi lakini asali ukalamba 😂😂😂Pole sana dear Umetukanwa wapi ??? kisa nini???? Hahahaaa wame za watu Nuksi sana dear!
Duh asali gani tena?Nuksi lakini asali ukalamba 😂😂😂
Em lala😂Duh asali gani tena?
Nipo macho😆Em lala😂
Tunalambishwa asali ya Mwamposa 😂😂Duh asali gani tena?