Ila huwa natamani kula nikiona sehemu,.
Nikipika Mimi hamu yote ya kula inaniisha.
Ungekuwa kama mtungi wa gesi Mihan
,ule mdogo
Nipo najifunza,kwahiyo napika za kutosha hadi walishachoka kula hapa nyumbani.
Ungekuwa huogopi watu ningekuwa nakuletea hapo Mbezi kwenye ngazi hizo za stand ya daladala