Aisee, kweli mwezi wa wanaopendana unaenda kasi.[emoji445]Ooh papaaa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chataa kukupenda wewe sina shakaa
Mmhh! Kwenye akili yangu niwewe peke yako umenikaaa
Kwengine roho inakataa ooh!
Moyo umekuamini
Maana huniishi akiliniiii
Sijui umenipa niniiii
Mmh! Au umenitupia kajini
Ndiomana umeniwin
Maana huniishi akiliniiii .
Imani nilonayooo imetengenezwa nawewe huko nyuma waliniangusha ukaniokota ukanipangusaa
Upendo tulonao umetengenezwa namimi nawewe
Penzi tamuu[emoji1732][emoji443]
Usiku mwema wapendwa na muwe na weekend njema[emoji3577]
Ndio wapi hukoSoweto
Ndio wapi huko
🤣Aisee, kweli mwezi wa wanaopendana unaenda kasi.
Nipo dadaakeKakaake umemisika
Ooh mie wa Mbagala huko sipajuiIki maeneo haya haya sinza
Wa vipaji nibless nirare vizuree jamanee!!Aisee, kweli mwezi wa wanaopendana unaenda kasi.
Poa kakaake
Ooh mie wa Mbagala huko sipajui
Ukinitumia nauli nitakujaUkuje siku yake
Ukinitumia nauli nitakuja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tufanye kesho madam, nimechek gallery sioni kitu.Wa vipaji nibless nirare vizuree jamanee!!
Asa nitakujaje, nipae?Mama nauli tena [emoji120][emoji23][emoji23]
Kila siku unanipiga kalenda wa vipaji wee haya tu!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tufanye kesho madam, nimechek gallery sioni kitu.
Mfanyie wepesiKila siku unanipiga kalenda wa vipaji wee haya tu!!
Wige[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitakufanyia wepesi wala usijali.Kila siku unanipiga kalenda wa vipaji wee haya tu!!