Sweet whiteWewe unapenda ipi?
Wow good ntaijaribu na mm ya aina gnSweet white
Umefika wapiHaya fanya chap
Me nishafika tayari, nakusubiri wewe tuUmefika wapi
Nakuja chapu[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Me nishafika tayari, nakusubiri wewe tu
boda boda yangu imekukosea ninilakini
Mseto unanoga na chai ,,,, hasa mazingira ya baridi au uporo
💯💯🙂Mseto unanoga na chai ,,,, hasa mazingira ya baridi au uporo
Mbona anafanana na Lenie 😍View attachment 2503805
Tunayajenga 😑
Si ni mtu nayeye lazima wafananeMbona anafanana na Lenie 😍
Unataka kusemaje Mkuu Wigelekelo 🤪
Von as ur fav brand 😜
Mwezi wa mapenzi huu Mjukuu, Bibi yenu ameniambia nijiandae kupelekwa Visiwa vya Karafuu ili kufurahia Valentine's yetu🤗Kupatwa kwa babuuuu hukuuu nyieeee😂! Naona mahaba niteketrezeeeeeee nilegezeeeee hadi kwa nyiee wazeeeee jamaneeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Makubwa hayaaaa hahaaaaaa😂😂kumbe granpa unajua kuimba hivi????🤔🤔🤔 ! cocastic njoo umuone babuuuu yakoo hukuu
Mpe Hongera sana na msamilie sana bibiiiiii ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️!!
Happy Love month granpaahhh!!
😁😁😁Von as ur fav brand 😜
Kama naona huko washroom kuna washing machine ya Von