Nikiondoka utachungwa na nani....??Kaka jamani mie nikajua haupo[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hapana nimeangalia hairstyle yako tuHuhu jina langu linaanzia na A ndio taja herufi inayofata . au umeangalia ID tu ukahisi ?
Hapana nimeangalia hairstyle yako tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiondoka utachungwa na nani....??
Haya dada, endeleeni kucheza na watoto wenzako. Mimi ngoja nikae huku kwambaaaaali na wifi wako...teh
Umenifananisha na nani ? taja herufi ya jina .
Shindwaaaa! Baki na zawadi yako.
Dada, Mungu anakuona....teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mbali wakati majicho yote yapo huku kuangalia bastolha za wadada. Nakusemea kwa wifi.
Hili jina lako mbona nalisoma ndivyo sivyo!! Silly me[emoji85][emoji85][emoji85]
Na wewe huwa unajipaka maparachichi ?Ooh sawa
Na wewe huwa unajipaka maparachichi ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua unajua.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Naomba uishie kuangalia tu, ila kumbuka huanzia kwenye kuangalia.Dada, Mungu anakuona....teh[emoji23]
Usinifanye kaka yako mchungaji niingie kwa majaribu ya humu ndani..[emoji28][emoji28]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Utakua Umejiongeza na kupunguza baadhi ya herufi [emoji23]
Hilo cheko linamaanisha nawe umelisoma kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jesus these are the people you died for
Ooh sio mm naanzia na herufi A
Usiku huu kuna nyoka kidogo apite na mimi,bahati nzuri amepita pembeni yangu aisee,nisingekua na tochi ningemkanyagaKama hamtaki kuamka nawawekea majoka yaje yawatishe ndotoniView attachment 1267166