Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Na nitakukomesha
Labda usinibeep
Na nitakukomesha
Nina voda tu😂 Alafu angekuwa na halotel ungemuona anacheka tuu!
Madakika yote hayo na bado ukanibip na unajua hali yangu!Si ndio mkuu
Kesho niite nijazie nitoboe njanuary View attachment 2487764
Na ana gb 5 za kuperuzi bado anakuomba hotspot 😂 huyu laswai lakiniMadakika yote hayo na bado ukanibip na unajua hali yangu!
Yaani wewe ni fake friend
Sema vocha za bure zina raha yake bana😂 Alafu angekuwa na halotel ungemuona anacheka tuu!
😂😂😂 u know why nilikubeep?Madakika yote hayo na bado ukanibip na unajua hali yangu!
Yaani wewe ni fake friend
Huoni hiyo ngozi ako inavong'aa!Kupigwa jua ndiokufanyeje mkuu na kiduku mpapaso ??
Sasa huyo ni rafiki au nyonya damu jamanNa ana gb 5 za kuperuzi bado anakuomba hotspot 😂 huyu laswai lakini
Si ndioSema vocha za bure zina raha yake bana
Nyonya damuSasa huyo ni rafiki au nyonya damu jaman
Kanifundisha uchaga huyo LenieNa ana gb 5 za kuperuzi bado anakuomba hotspot 😂 huyu laswai lakini
Na nitakucheka punde tu nitakapopokea simu halaf ndio nikusikilize 😂😂😂😂😂 u know why nilikubeep?
Sababu ni ile missed call ya umbea
nitakupigia usiku
Nikupe story, ila usnicheke
Lol ngozi ya kenge hiii ina michunusiiii na midoadoa kibaoo usione filter hizi😁😁😁😁😁!! !Huoni hiyo ngozi ako inavong'aa!
Ama hakika kuna watu wanananiiii pazurii
JiueBado nina hasira na wewe
Basi sikwambiiiiiNa nitakucheka punde tu nitakapopokea simu halaf ndio nikusikilize 😂😂
Kwamba unakula AC mda wote ndugu mjumbe AntonniaKupigwa jua ndiokufanyeje mkuu na kiduku mpapaso ??
Hahaa basi niambie sitakucheka sanaBasi sikwambiiiii
Chunus!!Lol ngozi ya kenge hiii ina michunusiiii na midoadoa kibaoo usione filter hizi!! !