Selfika na JF: Snap it. Show it

Anabaki ningejua 🤔 ila ndiyo inakuwa, Too late.
But watu huwa hatujifunzi, hata ikutokee mara 3 bado utarudia na kubaki kujuta.
Mimi nimeshajifunza, kama mtu anavikosa vya kuweza kurekebishika, sitoki hapo.
Nisije kuwa majuto ni mjukuu...
 
Daaah una maneno balaaa🤣
 
Anabaki ningejua 🤔 ila ndiyo inakuwa, Too late.
But watu huwa hatujifunzi, hata ikutokee mara 3 bado utarudia na kubaki kujuta.
Mimi nimeshajifunza, kama mtu anavikosa vya kuweza kurekebishika, sitoki hapo.
Nisije kuwa majuto ni mjukuu...
Of course kama Kuna nafasi ya kumbadirisha you go for him/her.

Hakuna Mkamilifu. Bibi yenu mwenyewe hadi kufikia miaka yote hii tumeishi pamoja amevumilia mengi.

Tena imagine miaka yetu Ile hakukuwa na maradhi mengi kama ya Sasa sijui HIV, so alivumilia mengi kwa kweli 🤸🥰
 
Anabaki ningejua 🤔 ila ndiyo inakuwa, Too late.
But watu huwa hatujifunzi, hata ikutokee mara 3 bado utarudia na kubaki kujuta.
Mimi nimeshajifunza, kama mtu anavikosa vya kuweza kurekebishika, sitoki hapo.
Nisije kuwa majuto ni mjukuu...
Hahahaaa...Nimechekaaaaa😂😂😂🤣🤣🤣🤣! Apambane naharee yakee no way!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…