Selfika na JF: Snap it. Show it

Thanks Mkuu, ingawa unahitaji Moyo kuweza kufanya hayo.

Mwengine mkishaachana unageuka adui yake milele
 
Thanks Mkuu, ingawa unahitaji Moyo kuweza kufanya hayo.

Mwengine mkishaachana unageuka adui yake milele
Sana tena uadui kwa waliowahi kuwa wapenzi, ni mbaya sana.
Yeah inahitaji moyo na mtu awe yuko hivyo. Watu naona tuna roho tofauti, kuna watu wenye roho za kipekee kabisa. Halafu kuna wenye roho zao, kama zina undugu na shetani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Roho za undugu na shetani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Roho za undugu na shetani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbavuu Zanguuu mieeeee!!
Especially sisi wanawake ndio tumezidi sana aweeeeeeh!
Wanawake kinachotusumbua ni wivu. Tukishinda roho ya wivu, kuona mwanamke yule ana kile, hata mimi Mungu kanipa hiki tutaishi kwa amani.
Usiombee uchukiwe na mwanamke 😂😂😂😗😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 hakuna rangi utaacha ona, hata pasipo na chuki ataiweka tu.
 
Wahivo Dawa ni kuwapuuzia tu hakuna kuwapa muda wala attention kabisa wakae na mawivu yao ya kiwaki!! Huwa hawataki kukubali ukweli!
 
Wanasema Kuna watu wahajui kuacha Wala kuachika.

Ukidate na mtu wa hivyo hata kama alikununuliaga Kiwanja au alikupelekea matofali Site mkiachana anakuja kuyabeba kabisa.

Na kama alikufungulia biashara anakuja kuihamisha kabisa.

Watu wa hivi ikitokea mmeachana ndiyo anakusemea mapungufu mara Kibamia sijui ukipiga kimoja chali n.k

Bora sisi tumezeeka, tumeamua kujipumzikia tu 🙈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…