ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,524
- 119,418
Wazee wa kuvuta memory..hahaha!!Nimehifadhi kwa matumizi ya baadaye😁😁😁
Wazee wa kuvuta memory..hahaha!!Nimehifadhi kwa matumizi ya baadaye😁😁😁
Pole Net ulipo basi.Mbona hazifunguki
Siku mbaya
Livakuku ipo kama misemo ya kiswahiliKabisa sijui liver nini kimewakuta
Wanakwambia siku ya kufa nyani miti yote hufanya nn vileMbona hazifunguki
Siku mbaya
Wewe subiri ya AntoniaNimehifadhi kwa matumizi ya baadaye![]()
Wapiga selfie😆😆😆Wazee wa kuvuta memory..hahaha!!
Umeona eeehhh!! Bantu L ni balaaa jingine mr vouchaaa!!
Madam Antonnia fanya namna tafadhaliWewe subiri ya Antonia
Haha njoo hapa mdegree utawala. Zitafunguka tuMbona hazifunguki
Siku mbaya
Nakuaminia madam wa 💪 kabisa.Nimerudia sana wa vipajii mpaka kesho tenaa
Kwakweli. Itel sio simuWanakwambia siku ya kufa nyani miti yote hufanya nn vile
Mwanzoni mwa msimuMwaka huu ni wa Arse8
Washindwe wao tu
Madam usituache hivi hiviMsijareeee kabisa keshooo nayo ni siku wapendwa kesho mapema sana ntawabless mr vouuchaaaa!✌️✌️✌️
Unapitwa tu na vitu vizuriKwakweli. Itel sio simu
Siku flani nilienda kule sehem nyingi kuna WiFi Ila zipo slow sanaa asio Kama enzi zenu wazee wa torrents mnashusha series tuu SAA sita usiku UCC pale. Mnapigwa na mbuHaha njoo hapa mdegree utawala. Zitafunguka tu