EwaaaaaKazi na dawa
Kwamba hutaki wageni[emoji23][emoji23][emoji23]Mgeni gani??[emoji849]
Huyu cocastic sweet wangu ni balaa lingine, yaani sifurukutii ananipa mahaba mazito mazito auntAsante aunt mapishi ya January ni tia maji tia maji πselfie kesho aunt huonekan coca kakufungia
Leo mbona unafunga duka mapema hivyoUsiku mwema wapendwa mrare unono [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Naked kweri kweri!!!
Majukumu mengine mkuu!!Leo mbona unafunga duka mapema hivyo
Pita basiUsiku mwema wapendwa mrare unono π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄
Naked kweri kweri!!!
Nishapita mdogo wangu tena bila emoji wala nenee!! Nipo tu nasinzia hapaaaa! Ntakuwekea keshoo MadamPita basi
Hilo pishi lirudiwe on a special dateπππJamani
Hahaa nimekua ex sasa , hamjambo huko?Dear Ex naona umenoga
Kitu gani mkuu CPA? Bado kabisaa ila zawadi ya ghetto sitakiπfinancial services vipi umemaliza ile kitu, nataka nije kukuletea zawadi ya 2023 gheto
Karibu sana nitarudiaHilo pishi lirudiwe on a special date
Asante nipe mahitaji, ntakupa venue uje kufanya kweliKaribu sana nitarudia
Si ulikataa pema mwenyewe π€£Hahaa nimekua ex sasa , hamjambo huko?
Bye byeUsiku mwema wapendwa mrare unono π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄
Naked kweri kweri!!!
Soulimeti katika ubora wako.Wife material kabisa[emoji23] Happy new year guys[emoji7]