Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndiomana mdogo wangu lovelovie alikukimbia eti nguvu hunaaaaa hela hunaaaa basi tafrani tupu 😂😂😂🤣!
Mi silei nalelewaa Kijana Shika adabu yako
Huyo mdogo wako lovelovei kakimbia Show Kila siku nataka kwan alifikiri mm nimekuja kulala tu na kula mm show show🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Aaamen pamoja na sisi wa vilinge
Nyie wa vilinge ndio hamfai kwenye jamii

Kuna wa vilinge ni jamaa yangu anawatandika huko S.A hadi kaungua[emoji1787]

Muumini wa bambataa akipata mgonjwa wa aina hiyo

Anamwambia dawa inaingia kupitia dhakari walivyo dhaifu wanakubali maskini

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom