Nashukuru migahawa ya karibu hapa hawauzi na siipendi tena .Kama zina hayo madhara Bora uache make vya kuandaliwaandaliwa tu Huko barabarani sio kabisa
Sijambo jirani mi nimevimbiwa tu hapa nasinzia!!Jirani hujambo..
hahahaaahaha...noma sana kwa afyaNashukuru migahawa ya karibu hapa hawauzi na siipendi tena .
hujui ni nyama kweli au ya mbwa .. Saa moja tu vishandaliwa na kuwekwa mezani .
hatari aiseehahahaaahaha...noma sana kwa afya
๐คฃ๐คฃhatari aisee
mama ntilie siwezi vyakula vyao .
labda iwe mgahawa mzuri . wanchukua mchele unanuka kigunia ๐
๐๐๐Tucheke kidogoView attachment 2475433
Sijaona hata mojaAsante dear Kamera zinatusevu sana !!
Mbona kwangu imekubali,au ulikuwa mtego?Kwangu Picha zinagoma kuaplodika Dr!! Sijui ni mtandao wahuku Nyakibimbirii labda ๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ!
Wacha weeMbona kwangu imekubali,au ulikuwa mtego?
๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 2475658
Nimecheka had nimemuamsha mtoto loh๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 2475658
Hello baby!!๐Wacha wee
Selfika kumenoga
Nimekuona Leo๐Hello baby!!๐
Wapi umeniona mpendwa?Nimekuona Leo๐
Kwenye picha ๐Wapi umeniona mpendwa?
Mimi sipo Hapo. Ni marafiki zangu hao.Kwenye picha ๐