Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,315
Santo sana rafiki nazisubiria kwa hamuuuu..nikizitupia lazima niselfikee nazoo✌️✌️Afu Zile mbilli nakutumia; ukifika kwa nshomile ni notify tu zitakuja na frester
Santo sana rafiki nazisubiria kwa hamuuuu..nikizitupia lazima niselfikee nazoo✌️✌️Afu Zile mbilli nakutumia; ukifika kwa nshomile ni notify tu zitakuja na frester
Sisi wa vijijini sio wajanja mkuu..Mnafeli vijana!
Ooh kumbeNdo napandisha hiki ki njia cha juu. Mkono wa kulia
Mapenzi hayana vijijini wala mjini!, tell what u feel.Sisi wa vijijini sio wajanja mkuu..
Mkulima wa mihogo na pisi kali wapi na wapi..Mapenzi hayana vijijini wala mjini!, tell what u feel.
Hapana mkuu, mapenzi hayaangalii hivyo vituMkulima wa mihogo na pisi kali wapi na wapi..
AsanteUnaonekna ni binti mzuri na unaheshima..sijui vijana wanafeli wapi?😓
Hawatukubali mkuu., wanataka wa mjini..Hapana mkuu, mapenzi hayaangalii hivyo vitu
Hapana mkuu just talk to her, anaonekana muelewa sana!Hawatukubali mkuu., wanataka wa mjini..
Sawasawa mkuu...Hapana mkuu just talk to her, anaonekana muelewa sana!
Ila zinagatia kitu moja kama unampenda komaa nae!Sawasawa mkuu...
Sawasawa..Leo umenipa ujasiri mkuu.Ila zinagatia kitu moja kama unampenda komaa nae!
Jirani Yangu wa kunionesha mitaa nipate hapa nisipite huko; ninunue hapa tatizo umejibanza sasaOoh kumbe
hufanyi shopping hapo juu
Anachagua sanaUnaonekna ni binti mzuri na unaheshima..sijui vijana wanafeli wapi?![]()
Unampigia chapuo?Mapenzi hayana vijijini wala mjini!, tell what u feel.
Haha namielezea sifa za mtu anaechat nae!
jirani mvivu huyoJirani Yangu wa kunionesha mitaa nipate hapa nisipite huko; ninunue hapa tatizo umejibanza sasa
Awe mayala kama cocasticHapana mkuu, mapenzi hayaangalii hivyo vitu
hahaha six pack wapo mitaa gani 😆😆