Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii pisi nimeivutia kasi mda sana Bantu Lady, we acha tu ungejua nimeenda bahari hindi mara ngapi.🤣🤣
Utakuwa mwanaume mwenye bahati sana best. Maana mtoto mlito si kitoto..
Wanaommezea wengi ila mwenye bahati niwewe pekee.. mtunze mrembo wangu. Watoto wazuri wa hivi kuwapata, ni bahati kama ya leo tu na haiji mara mbili ERoni
Ila miye mgomvi, kuna mtu km nilitaka kumtag 💃💃💃💃😂😂😂😂😂
 
Utakuwa mwanaume wenye bahati sana best. Maana mtoto mlito si kitoto..

Ila asiwe mkorofi maana ankoli wake nipo hapa akizingua tuu ataelewa which is which...😅🤣🤣🤣🤣🤣
 
Utakuwa mwanaume wenye bahati sana best. Maana mtoto mlito si kitoto..
Wanaommezea wengi ila mwenye bahati niwewe pekee.. mtunze mrembo wangu. Watoto wazuri wa hivi kuwapata, ni bahati kama ya leo tu na haiji mara mbili ERoni
Ila miye mgomvi, kuna mtu km nilitaka kumtag 💃💃💃💃😂😂😂😂😂
Nina jeshi la mtu mmoja hapooo aaaaahhh nanenepa kwaraha zanguuuu!! 💃💃💃💃!!!

Tag nakuita wewewewe kamanda wangu ugombelezeee utajua mwenyewe usovuje hapohapooo!!🤣🤣🤣🤣🤣

Wapi my ERoni aweeeeeeh 💃😘♥️
 
Back
Top Bottom