Selfika na JF: Snap it. Show it

Nkamu. Happy New Year....

Uwanja huu wa urembo ni wako. Kama vipi tuwekee na cologne tatu za kiume unazozikubali sana...zikiwemo na zile anazotumia Mr.

The best uizungushie duara pia [emoji16][emoji16]

Happy New Year Nkamu

Cologne tatu za kiume ambazo nazipenda Mr akijipulizia ni hizi tena hii nyeusi mpaka nimemuibia.

ya tatu ambayo naipenda sijaweka hapo picha inaitwa Jean Paul Gaultier

Thou wakaka wa kibongo wengi wamekariri Sauvage [emoji3]

nimeshindwa kupiga picha na kuzungushia duara sababu nipo Dom na Mr yupo Dar hope nimejibu
 

Attachments

  • IMG_7646.jpg
    78.1 KB · Views: 12
  • IMG_7649.jpg
    73.1 KB · Views: 13
Asante nkamu.
Ngoja nijitoe kimasomaso nimnunulie huyu kaka😋aipumzishe opium.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…