Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha hao wa hivyo kwa kweli ni malegendari

Yeah ndiyo maana wanasema tusikariri maisha maana ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi na wewe tena,, nilitaka tu na leo ulale taa ikiwa on..

Tuache utani hivi siku ndiyo unaingia bafuni unakutana na shosti huyo utafanyaje??
We sitaki hata kuimagine mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Nitakufwa kwa pressure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…