Halafu hauwezi amini pamoja na limuandiko lote hili ila sijawahi kuongeza booklet maishani mwangu na essays nilikuwa naandika points zaidi ya nane na kila paragraph ina lines zaidi ya sita,, hesabu sasa ndiyo usiseme..
Hata mimi nilikuwa nawashangaa wale wanaoongeza booklet walikuwa wanaandika vitu gani,, lakini pia nilikuwa nawashangaa wale ambao baada ya nusu saa au lisaa limoja tayari wamemaliza wanaondoka aise nilikuwa nabaki mdomo wazi..