Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha.!!
Karma usinikumbushe hebu, nilikuwa nina akili shule ila mwandiko sasa!! Mwalimu akanituma nikanunue daftari, std 5 enzi hiyo, tukitoka class sessions na tuition, nabaki peke yangu kufundishwa kuumbwa mwandiko!!

Yule mama alijionea nisipoteze hichi kipaji bure akajitolea, MUNGU ambariki sana jamani, Leo sijui ningekuwa mgeni wa nani.!
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]waoooo dada nimekumiss mimi jamani hadi natamani nikukumbatie,, ulipotelea wapi eti kwani??
Mekumiss ujueee pia mdogo wangu mzuri mzuri!!

Busy na majukumu mdogo wangu! Mpaka sipati muda wa kukula!!

I love you more dan yesterday [emoji182]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…