π€£π€£π€£π€£π€£π€£!Sauti IPO sawa kabisaaaa kabisaaa
Kupitia jf utaolewa haraka sana, vijana wangu hawawezi kuniangushaπ€£Sijaolewa na sina huyo mdogo wa kike sasa Jack πππ
Unaonja kidogo nje na weweπ€£π€£π€£Acha nipambane nahali yangu tyu Wigeeee nyie Humu pendaneni kwa amanii kabisa!!
Mimi hiiπ niliyonayo inanitoshaπππππππ
ERoni mbona tayari ninaye Mr. Right wangu, bado ndoa tu. Mungu akipenda soon πKupitia jf utaolewa haraka sana, vijana wangu hawawezi kuniangushaπ€£
Wige ππππ una shemeji humu tayari muda mrefu. Ila nimecheka Wige eti "Eeh??!
Kwa niaba ya vijana wako wanasema hawata kuangusha. Wamejipanga vema.Kupitia jf utaolewa haraka sana, vijana wangu hawawezi kuniangusha[emoji1787]
Hiyo yenye presha na visukari?Acha nipambane nahali yangu tyu Wigeeee nyie Humu pendaneni kwa amanii kabisa!!
Mimi hii[emoji533] niliyonayo inanitosha[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Najua hapo udendaKupitia jf utaolewa haraka sana, vijana wangu hawawezi kuniangusha[emoji1787]
Si ndioUnaonja kidogo nje na wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Biblia inasema tuwe na kiasi Wige, hata mate yanidindoke vipi, muhimu kuwa na kiasiπ€£π€£Najua hapo udenda
Unakumwagika[emoji1787][emoji1732]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Duh
Basi ana bahati sana huyo T 1990 ELYERoni mbona tayari ninaye Mr. Right wangu, bado ndoa tu. Mungu akipenda soon [emoji120]
Roho inaumaWige [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6] una shemeji humu tayari muda mrefu. Ila nimecheka Wige eti "Eeh??!
Wewe achana na hoyo maneno, nakutafuta soon!π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ niambie tu rafiki yangu National Anthem unaitwa huku my best..
CC: Jack Palladino msome Wige kwanza ππππ
Wige siyo huyo, mbona hata simfahamu huyu kaka wa watu jamani. Acha vituko vyako ππππBasi ana bahati sana huyo T 1990 ELY
Mwambie namsabahi
Amepata chaguo zuri
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Hamtakaa mumfahamu πππ, siku hizi akiingia JF anasoma tu. Hajawahi nipa like, wala kuniquote. Huwa naishi humu kama hayupo πππ ERoni atakuwa mshenga ππππππ
Nimesingiziwa mengi sana mkuu, ila kwa Bantu Lady hata ukisingizia sitakulaumuπ€£π€£