Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee

Kwenye ng'ombe Kuna

Maini

T bone

Jembe

Steki na kadhalika

Niishie kula kadhalika niache hivyo vingine vitam tam

Nani alikuambia wewe

Wanaume wenyewe sisi ?!!


Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app

🤣🤣🤣🤣✌️🤣
Binadamu wote ni sawa😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Finally si mnakojoa kwani!!!😎😎😎😁
 
Ntakuita dear ikiwezekana ntakusevia kabisa 😁😁😁🤣🤣🤣!

Kazi njema kipenzi
Asante kipenzi nawewe pia. Jamani hakuna mtu mbaya. Na nilikuja jifunza hili, ni vile unavyomwangalia na moyo wako utakavyomkubali. Kila mtu ana uzuri wa aina yake, inahitaji jicho sahihi kuona huo uzuri wake. Ila mimi 🙄🙄🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣
 
20230103_131237.jpg
 
Back
Top Bottom