Selfika na JF: Snap it. Show it

Issa Monday[emoji7]
Jumatatu ya kwanza ya mwaka 2023.
Ikawe week ya baraka kwenu vipenzi [emoji847].
Jobless narudi zangu kulala[emoji42]

Antonnia cocastic Poker nilikuwepo wehu wangu[emoji7][emoji3589]
Dyadyaaa nawee pia [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Afu unabadili San names.

Jobless ndo mie tyuuh JF nzimaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issa Monday😍
Jumatatu ya kwanza ya mwaka 2023.
Ikawe week ya baraka kwenu vipenzi 🤗.
Jobless narudi zangu kulala😴

Antonnia cocastic Poker nilikuwepo wehu wangu😍❣️
Heri ya mwaka mpya kwako,
Wanasema jobless atoke tu azurure tu hata kwenda kariakoo tu huenda akapata cha kufanya huko aliko kuliko kujifungia ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…