[emoji23][emoji23][emoji2296][emoji2296]sijasema shikamoo (mimi siyo mtoto mwenzio),, mmepotea sana humu nyie watu nimewamiss mimi jamani..
Salamu zimefika
Nini?Embu kwanza...
Ushimen banaMashallahhhh....
Ebu fanya ukuje PM, maana kama hivyo basi saivi utakuwa ndio umeiva kamili....[emoji28][emoji28] maana sio kwa uumbaji huu wallah, na kama sijakosea Allah alikuumba siku ya saba akiwa amepumzika kwamaana hakuwa na haraka kabisa.....View attachment 1265767
Babe[emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 1265763
Miaka 7 iliyopita [emoji12]
Fanya kuisogeza pembeni labda. Enzi hizo ndo nilikuwa mzee saizi narudi ujanani.Unataka niitoe? Myb nifanye kuisogeza pembeni... Simu Nokia lumia, usiniambie ulikuwa bado mdogo miaka hiyo mpaka ushangae hivyo
Dah!
Kuna watu mnaishi maeneo mazuri sana, hii itakuwa safu za Usambara kama sio Pare
View attachment 1265763
Miaka 7 iliyopita [emoji12]
😘😘 zamu yako Dada mzuri[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] cute af
Ngonga Kyela.
😂😂😂Ujumbe umewakilishwa na mwandiko...
Hebu ngoja basi tuache mwandiko, una kucha nzuriiiiiii
Dimpoz [emoji8]View attachment 1265763
Miaka 7 iliyopita [emoji12]
......[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1265766
Like yo Babe 😘😘😘Babe[emoji8][emoji8][emoji8]
Yo cute[emoji7][emoji7][emoji7]
Si urafiki tu jamani.
Picha zangu nimetuma zote hadi zimeisha,, nikipiga nyingine nitatuma soon..
Asee,we binti unajua kunitega dah