okayHaikuwa tz. Kwa majirani zetu hapo
ah wapiPisi kali!
Iya mwisho lol
mmmmh hamna lolote ππ.Hili balaa hili! hahaha mama alizaa
I
Verified pisi; no discussion nasemasasa mimi ndo najiona 24/7 .. hadi nacheka kwa kioo ...
Bado sana mpaka nishike hela chafu πππVerified pisi; no discussion nasema
Haha alafu bado embe bichi Sana ujue; waweza lia na chumvi.mmmmh hamna lolote ππ.
camera Mkuu
nani embe huyo ?Haha alafu bado embe bichi Sana ujue; waweza lia na chumvi.
Emeen! Mungu ni mwema siku zote atajalia utashika tuBado sana mpaka nishike hela chafu πππ
AmenEmeen! Mungu ni mwema siku zote atajalia utashika tu
Haha si T uyo! yani bado mduchu; Kama ni gari ni Namba EBAnani embe huyo ?
mmmh mduchu wapiHaha si T uyo! yani bado mduchu; Kama ni gari ni EBA
BMP sawa lakini Naona kilometers hazijasoma Sana! Gari mda mwingi limepaki.mmmh mduchu wapi
nishakomaaa ni BMP
zishasoma mno lol ππBMP sawa lakini Naona kilometers hazijasoma Sana! Gari mda mwingi limepaki.
Haha ntakuelekeza keshozishasoma mno lol ππ
zinahitaji service daily ...
nyie mnasomaje kwa picha π π
bado haujarudi nyumbani ?
kesho utanielekeza wapiHaha ntakuelekeza kesho
Kuna sehemu nipo nawadau namalizia sikukuu! Japo mda si mrefu around 3pm ntasepa.
Basi poa enjoy your night kesho mungu aki bless