Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787]sure,, ni ile aina ya muandiko ambao mtu ananyonga herufi (ndiyo huo wako sasa) siyo ile aina ya mwandiko ambao mtu anacharaza herufi (kama wa SweetieLee[emoji23][emoji23]) mie mwenyewe nina aina hiyo ya kwanza ya mwandiko halafu wangu mkubwa sasa..
Eti kama wako![emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifurahisha Karma
 

Ngoja SweetieLee aje athibitishe mcharazo wake!😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…