Asante mamy!!Pole sana dear.
Hao viumbe wanaboa sana
ππππ Asante sana mkuu.. nikutakie kheri ya mwaka mpya.. Pellaiah wangu anakusalimia, anajua kupika huyooHeri ya sikukuu mkuu,
Naamini unazidi kufurahia mema ya dunia mzee.
Heri ya mwaka mpyaAsante mzee, kheri ya mwaka mpyaa mkuu.
Umeachwa? πππ
kheri ya krismasi na mwaka mpyaa.. msalimie msogo wako Lenie
Sina poziii la kucheka Poker pullliiiizzzzz ππAntonnia kasasambuliwa furniture zote ndani kakuta chumba empty! Ila ripoti za awali zinasema kumbe alikuwa anadaiwa marejesho na ukizingatia mwisho wa mwaka huu watu wanataka vunja vikoba wagawane chao!
Uje kesho nitapika pilauMwenyewe hapa nimesubiri mialiko lakini hata sijaona mtu wa kuniita.
sinagA bahati humu ππUmeachwa? πππ
National Anthem nakupa taarifa tu, kesho naenda kula pilau la mdigo, nitakula pilau kabla ya kula PILAUππππ€£π€£Uje kesho nitapika pilau
KwaniPole sana dear.
Hao viumbe wanaboa sana
Una raha kweli mzeeπππ unafaidi sana mzeee..National Anthem nakupa taarifa tu, kesho naenda kula pilau la mdigo, nitakula pilau kabla ya kula PILAUππππ€£π€£
Yaani ulivyo born town tena mkaguru wa morogoro ni ngumu kuamini kama wamepita navyo. Bado tunaendelea kuchunguza mikopo yako uliyokopa kwanzia nyonya damu mpaka kausha damu! π Tujue nani ndio amebeba!Sina poziii la kucheka Poker pullliiiizzzzz ππ
Kaenda kanisanikheri ya krismasi na mwaka mpyaa.. msalimie msogo wako Lenie