Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Hivi huja notice
Kuna ID hazijaonekana kabisa Leo
Swali
Unadhani zitakuwa loji gesht hausi
Ama zitakuwa pahala?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Niambie mambo vipSophyโ
Antonnia kasasambuliwa furniture zote ndani kakuta chumba empty! Ila ripoti za awali zinasema kumbe alikuwa anadaiwa marejesho na ukizingatia mwisho wa mwaka huu watu wanataka vunja vikoba wagawane chao!
Mie ostadh, nilikula biriani Al ijumaa,eo ni ugali tembele mama!!Niambie mambo vip
Hata wew wa kuninyima pilau kweli
Sio kweli๐๐Mie ostadh, nilikula biriani Al ijumaa,eo ni ugali tembele mama!!
IDD ulikula na nani?sato hirosh mzima mbona sipat mualiko watu wa humu imekuwaje[emoji3]
Hahha mtakuja mlie hapa ๐IDD ulikula na nani?
Msubirie siku ya MAULID ulipizie
[emoji1787]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mwenyewe hapa nimesubiri mialiko lakini hata sijaona mtu wa kuniita.Sio kweli๐๐
Asante mzee, kheri ya mwaka mpyaa mkuu.National Anthem Merry Christmas mazee.
Mwenyewe hapa nimesubiri mialiko lakini hata sijaona mtu wa kuniita
Heri ya sikukuu mkuu,Asante mzee, kheri ya mwaka mpyaa mkuu.
Niambie babaaa sophy27Mwenyewe hapa nimesubiri mialiko lakini hata sijaona mtu wa kuniita.
Hawa wajumbeWe ngosha mbona mchokozi hivi,[emoji1787][emoji1787] nitaenda pembeni nikaongee na Antonnia..
Hiyo ni code na hapo si kashajua mjeda katoka sudan ana fungu la hela hivyo anasema kaibiwa ili anunuliwe furniture mupyaaa! Mjeda kapeleleza kagundua vitu viko ukobani, hivyo ameambiwa boss lady anadaiwa 3ml alikopa kwaajili ya biashara ya ubuyu, kashata na visheti kuwauzia wanafunzi. Ila wanafunzi wakamzidi ujanja akafilisika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ni mtego
Mrs ERoniMuongo๐๐
Pole sana dear.Vitu vya Sebuleni kama Tv et all Magodoro mawili jiko la gesi lile kubwa king'amuzi na vikolokolo Vingine kugundua hadi niwepo mwenyewe!!
Wasije tu kuwa wamemeba documents Zangu vyeti. n.k nitawehuka mbona!
Na kwanini sikukuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakubwa wanatoka usiku ujue
Jamni๐๐
Mateso bila chuki Tena ๐๐๐Na kwanini sikukuu
Via vya uzazi
Vinapata mateso sana?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app