Hata ma mods hilo jina sijui wamelikubalije maana ukiomba kubadilisha ID ni lazima ipite kwao watoe ruhusa. Siamini kama kuna mod karuhusu mtu ajiite mnyonya mbususu!
Andaeni selfika patry Christmas mkutane mfurahi pamoja hukooo uogaa tyu kila mmoja anakula kona kiaina lol!! Carrasco putin ndio hataki kabisa na dislike juu😁😁😁😁😂😂😂😂😂!!