Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,364
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hapo sasa, sisi tunatembeaa na terms tyuuh.Muda wa kuhangaika na S Chand& Understanding halafu uje uhangaike tena na Linguistics unautoa wapi Coca?
Dada huna mpinzani kwenye ngeli.
Hata Genius naye anakibomoaaa balaaa, siku hyo tupo class akaanza ku flows woiiiiiiiih, nkawa had najisemeaaa halali atuburuzee tyuuh.
Afu kasoma Ilboru na Tabora Boys. Ila ngeli sasa. Hatareee kajaliwa aseeeeeh.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wige mie stakiii ujue?
Huyo tinsiee hata wengi humu hawamuwezi kwa ngeli, yeye kapita mabus ya njano had Chuo kikuu, sasa mie ni St kayumba had chuo, ntafananae kweli?
Nnacho cha kuandika na kujibia madesa basss, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngeliii mchezooooo. Lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wenu wa majogooHivi Captain Marvelous unaujua huu uzi?
Au ndio umefungwa tu kule kwa majogoo[emoji6]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ndio uzuri wa LFC 😂Uzi wenu wa majogoo
Watu waashusha ngeli mule
Nilipataga crush mule hahahaaaa
Bila selfie siamini maneno yako..I'm missing you Post M-alone
Hadi nikawa napenda timu yenu lolNdio uzuri wa LFC 😂
Ni uzi unaoongoza kwa kimalkia.
Nani huyo alikuvutia?
crush?Uzi wenu wa majogoo
Watu waashusha ngeli mule
Nilipataga crush mule hahahaaaa
Yeah crush pilotcrush?
Mi ndiye ningekuwa huyo jamaa ningekupigaje mistariYeah crush pilot
Au tuseme admirer
Hakufanya hivyo ....Mi ndiye ningekuwa huyo jamaa ningekupigaje mistari
Nimekumiss sanaBila selfie siamini maneno yako..
Alikosea sanaHakufanya hivyo ....
Alibaki kuwa rafiki tu ...
Hebu ninong'oneze bana nikupe connection mapema sana tule ubwabwa uachane na upweke mtoto mzuri .Hadi nikawa napenda timu yenu lol
My love for football ilianzia hapo
Hahaa siri yangu aisee
Jamaa namshukuru sana ...
Thanks, bila selfie siamini, sijambo..
Sio mbayaAlikosea sana